Diana Stephen Mkeu
  • 104
    POST
  • 3.5k
    FOLLOWERS
  • 325
    FOLLOWING
Diana Stephen Mkeu
@dianamkeu
Kuna vitu vidogo sana unaweza ukafanya hata mara moja na ukagusa maisha ya mtu kwa kiasi kikubwa Sana @nicksongeorgekali I love you bro! 💜🇹🇿 #dianawakatambuga #fuatanyayo 👣
Umefuatilia Katambuga??? Em dondosha neno lako hapa, maana @bhokemwihava na @missie_mella huko ni moto 🔥🔥🔥 #katambuga #fuatanyayo : Kama umeikosa, usijali icheki kupitia YouTube Chanel yetu ya Wasafi TV : : @wasafitv @katambuga.tv @dianamkeu @makavelilumwe @kitundujonathan @man_vanipe
Je! Ungependa kusafiri na team ya Katambuga??? Tuambie kwanini tukuchukue wewe, na utafanya nini tukikuchukua? Usiache kuangalia Katambuga jumanne hii saa 3:30 Usiku team nzima wakiwa Tanga kwenye Pango za Amboni kukufungulia ukurasa ambao hujawahi kuuona, : : Kama ilikukosa wiki iileeee, usijali icheki kupitia YouTube Chanel yetu ya Wasafi TV kufatilia @katambuga.tv na vipindi vingine kibao, lakini pia marudio ni kila siku ya jumatano saa 5 asubuhi na jumapili saa 7 mchana #Katambuga #FuataNyayo @hamisi_kigwangalla @zaratour @tz_unforgettable @kitundujonathan @makavelilumwe @man_vanipe @bhokemwihava @dianamkeu @missie_mella @wasafitv @katambuga.tv
Things will never be same just don't give up! 🤕😎 #dianawakatambuga #extrahope 🇹🇿
Sio rahisi mtu kubadilisha tabia kama unampa mtu nafasi kwenye maisha yako ambae tabia zako na zake haziendani amua kuchagua maumivu, 🖤 usijipe moyo kuwa atabadilika sababu Muda haubadilishi mtu, ila unaonesha uhalisia wa tabia zake!🔚 #dianawakatambuga #extrahope 🇹🇿
Ilikuwa ni hatari mno kwa @kitundujonathan kukwea miamba mirefu na mikubwa ndani ya msitu wa Kibodiani, kulikuwa na hatari ya kukutana na nyoka wenye sumu kari au pengine kuanguka, lakini ilibidi apande ili kuutafuta ukweli, @katambuga.tv ya jumanne iliyopita ipo tayari kwenye YouTube channel yetu ya Wasafi TV, utaweza kufuatilia mtiririko wa kipindi cha maisha halisia ya vijana wa Katambuga kuanzia episode ya kwanza mpaka ya 6 na zingine zijazo, Katambuga ni kila siku ya Jumanne saa 3:30 usiku na marudio kila siku ya jumatano saa 5:00 asubuhi na jumamosi saa 7:00 mchana kwenye @wasafitv #katambuga #fuatanyayo : : @wasafitv @bhokemwihava @dianamkeu @makavelilumwe @man_vanipe @hamisi_kigwangalla @zaratour @tz_unforgettable @missie_mella
Leo ndio ile Jumanne yaa saa 3:30 usiku kwenye @wasafitv @katambuga.tv ndani ya pori la kutisha la Kibodiani kuitafuta Chem Chem ya ajabu ya pua mbili, Je! Watafanikiwa? Tukutane usiku huu, #Katambuga #FuataNyayo : : @kitundujonathan @dianamkeu @bhokemwihava @man_vanipe @makavelilumwe @missie_mella @tz_unforgettable @zaratour @hamisi_kigwangalla
@gnakowarawara #gusanisha 😋 Have a blessed day I love you all! #dianawakatambuga