Hussein Mohammed Bashe
Hussein Mohammed Bashe
@bashehussein
 • 487
  Post
 • 183.5k
  Followers
 • 287
  Following

Hussein Mohammed Bashe's Posts

Caption
Rule Number ONE

BAHARIA HAZEEKIIIIII
Comrade Kaunda katika picha ya Pili ndie aliebaki HAI ktk viongozi walioanzisha “Frontline States” ambayo iliendesha mapambano ya Ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika

Kaunda amemuaga Comrade mwenzie wa Mwisho sasa Mwanapinduzi aliebaki HAI wa harakati hizo ni Mzee Kaunda Peke yake

Historia ya SADC ilianzia mapambano ya UHURU na waasisi ndo ni (FLS) ambao mwanzo walitumia hoja ya Uhuru kama msingi wa Muungano wao.

Baada ya kukosa support umoja wao wakaubadilisha na kuufanya ni wa Kiuchumi .LEO Alama pekee ilobaki ya FLS-SADCC-SADC ni Mzee kAUNDA

You can Imagine hapo alikua anawaza nini
Survive
Leo nimetembelea wilaya ya Misungwi na kujionea Facility hii ya Ginnery ya Manawa ambayo ilikua Mali ya Nyanza

Capacity ni kuchakata Pamba kilo 30m kwa mwaka tumefanya ukaguzi wa awali na kuwaagiza wataalam washirikiane na TADB na TCB kuangalia uwezekano wa kuirudisha ktk ufanyaji wake kazi 
Hiki kiwanda kina eneo la ukubwa wa Ekari 2500 na Nyumba 30 za wafanyakazi Maghala zaidi ya 10 ambayo kwa sasa yanahitaji ikarabati 
Kiwanda hiki Hati yake imewekwa Rehani na aliekua MBIA wa NYANZA , nimewaagiza atafutwe arudishe HATI hiyo 
Hii ni eneo ambalo tutaweka nguvu kuifufua ili wakulima wa Pamba na vyama vyao wawezekuongeza thamanj ya Mazao yao Msimu Ujao

Leo nimeona na kushudia Vission ya Mwalim Nyerere .Achenj Nyerere aitwe Baba wa Taifa
Pre Session Ziara

Jana tumekua na kikao ktk mkoa wa shinyanga kukutana na wataalam wa wilaya zote wanaohusika na KILIMO kujadili na kuwekeana Malengo ya msimu wa 2019/2020

Mambo ya msingi tuliokubaliana kwakua mkoa huu hupata mvua za muda Mfupi lakini nyingi sana Tumekubaliana kuangalia namna gani tutaanzisha Irrigation scheme ndogo ndogo na kuzpitia scheme zote ambazo either zimekufa ama zina perfume chini ya kiwango na muelekeo wahuko mbele kuwekeza ktk umwagiliaji tukitumia mabonde kama la Mto manonga 
Nimetembelea Ginnery za Lugulu ,KACU na Sola ambazo zinauwezo wa kuchakata pamba kilo 90m ambazo zimesimama hazifanyi kazi 
Kama viongozi ktk msimu wa kilimo tutakua tunakutana Mara tatu na kuacha utaratibu wa kukutana wakati wa Mavuno na kuanza kujadili matatizo ambayo kama tungekua Proactive yasingetokea

Tumejadili mfumo wa usambazaji pembejeo ,Tumekubaliana bei ya Mbegu ya Pamba haitapandishwa itabakk kama mwaka Jana 
Mkutano wetu umefocus kuanzia Production storage to markets ,Tumekubaliana Tizzo zote halmashauri inazokusanya kitokana na zao lolote angalau 20% irudi kwenye Sekta ya kilimo 
Tumekubaliana Ginnery tatu mwakani lazima zianze kazi ili kupunguza Tatizo la Soko la Pamba
Leo nimetembelea Ginneries katika wilaya ya Chato ,Mbogwe na Kahama na kukutana na viongozi wa wilaya zote tatu vyama vya msingi ,Bodi ya Pamba na Bank ya Maendeleo ya kilimo 
Tumefanya assessment na kuangalia uendeshaji tumekubaliana small technical team kupitia techical aspect na kuja na Financing module 
Tumejiwekea Lengo Inshaallah msimu ujao zote zitaanza Operation at full capacity

Niwashukuru kwa dhati Vyama vya ushirka kahama,Chato na Mbogwe Pia kwa Niaba ya wizara niwashukuru kwa dhati viongozi wa wilaya zote Tatu.

Maamuzi haya ni Magumu but nina uhakika tutavuka ukitazama Ginnery ya Mbogwe ni Brand New imelala ,Ginnery ya Chato inajiendesha only at 10% capacity tutaongea na Investor aliepo hapo sasa ili tuweze ku revive na kuifanya Full operational from Ginning to Oil .

It’s tough but tutenda tumewekeana time frame kila player kufikia lengo la kuwa operational 
IN GOD WE TRUST ,We dream Big with focus tutavuka
Nilipata fursa ya kutembelea Kahama OIL MILL kujadiliana challenge wanazokutana nazo kama Local investors wanaojihusisha na mazao ya kilimo

Inatia Faraja kukutana na serious local investors walioko ktk Sekta ya Kilimo kama serekali wajibu wetu ni kuwalinda na kuwawezesha

Tumejadiliana uwezekano wa KOM kuanza uwekezaji wa SPiNNING ili wawe wananunuzi (Off takers ) wa maribota yatakayozalishwa na Ginnery nne ambazo tunataka kuzirudisha ktk operation

Wameonyesha Utiyari na sisi kama serekali tutawasaidia kufikia lengo hilo

Nimewahamasisha kuwekeza ktk uchakataji wa UNGA na MPUNGA ili kununua mazao ya wakulima wa maeneo ya shinyanga na kagongwa na Manonga na nimewashauri lazima wazalishe Unga ambao ni Fortified. Ili waweze kuuza nje 
We dream Big with determination focus and God help tutafika
Tumekua na siku ndefu ya Jana kutembelea vijiji vya Vya wilaya ya Uyui nakutembelea Ginnery na kiwanda cha Tabotex 
Wakulima ktk baadhi ya kata kiasi cha kilo 500,000 hao kuwa imechukuliwa Tulifanya maamuzi hapo hapo kuongeza kampuni ya Kahama Oil Mill kuingia na kuanza kununua na leo asubuhi zoezi limeanza KOM wamebebe Tani 30 za kwanza na ndani ya siku 10 pamba itakua imechukuliwa yote.

Msimu huu uzalishaji umeongezeka kupelekea changamoto nyingi ambazo tunaendelea kuzitatua

Kufatia changamoto hizi tumeamua maeneo ya Uvinza,Urambo na Uyui kuruhusu wanunuzi ambao hawakua na leseni ya kununua maeneo hayo wakanunue ili kufika end of October Pamba iwe imeisha

Kwa ajili ya Msimu Ujao tumedhamiri Ginneries za Solwa ,Lugulu,Chato,Mbogwe na Manawa zianze kufanya kazi ili kuongeza thamani na kuongeza uchakataji wa Pamba uzalishaji unaongezeka Off Takers lazima waongezeke hii itamsaidia Mkulima uhakika wa soko na Tutangeneza Ajira za Uhakika
Washosha Ng”ombe
Nimepokea kwa masikitiko na uchungu wa mwana taarifa za kifo cha baba yetu, rafiki, mshauri, kiongozi na mzee wetu mpendwa Colonel Apson Mwang’onda, mtu ambaye wakati wote wa safari yangu ya kisiasa na uongozi alikuwa msaada mkubwa usiomithilika. Pumzika kwa amani baba
Miaka 37 ilopita na Miaka 20 baada ya Mwalim nyerere kwenda mbele ya HAKI, Mwalim Nyerere aliongelea umuhimu wa sekta ya Kilimo na umuhimu wa Sekta hii ktk Maendeleo ya Taifa letu.

Mwalim ataendelea kuishi ktk Maisha yetu ya kila siku
Hiiiiiiiii Bhagoshaaaaa

Hiiiiii nawachekiiiiiiii
Happy Birthday Mr President 
Allah akujaalie Afya njema na Uhai Mrefu ktk Kututumikia Watanzania