Chambusso
Chambusso
@chambusso
 • 599
  Post
 • 85.3k
  Followers
 • 152
  Following

Chambusso's Posts

Mungu akujalie maisha malefu na salama akuongoze vyema kwenye kazi zako inshallah happy birthday @chegechigunda @chegechigunda #kamanda
Cjawai izoea hii nyimbo kila cku kwangu ni kama mpya #angekuona aka #mama @aslayisihaka πŸ’ͺ🏿 πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”›
Mdomo unaweza kuuzuia usiongee,,,, lakini huwez kuzuia moyo usiumie.... #buguza #beluwa #babaake
Brand New VideoπŸ”₯
#Sanam La Michelini 
kutoka kwa @mzeewabwax_1 Γ— @tamimu 
Producer By *Jay Stereo*Aya Wanangu Twendeni YoutubeπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ukiona mkulima anatabasam ujue mazao Yanakaribia kuiva, #MchichaMwiba kutoka kwa SingeliKiller @easymantz007. Gusa Link kwa bio Yake @easymantz007 kuitazama full Video Ya #MchichaMwiba, Video Director by #BancelOtieno @otieno_tz.
Produced by: @kenny
Cc @peterzeprezident_ @chambusso @dj_kikot @meneja_kandoro @manager_dozee
@dingibahili_entertainment
Kamanda @mzungu_baunsa mungu akujalie maisha malefu na samala inshallah happy birthday πŸŽπŸŽ‚ @mzungu_baunsa #haraaakunahabarigani
πŸ’ͺ🏾πŸ’ͺπŸΎπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”₯πŸ”₯ yes @sinaubizawose
Mweupee @aslayisihaka #bembea
Chumaaa kutoka kwa mwanangu @satb_satura ft @aslayisihaka πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ angalia full video link kwa bio yake #nguvuyaumma
Furaha ya kweli baba saidi @chibakindala
πŸ”₯πŸ”›πŸ’ͺ🏿
Furaidei πŸ’ͺπŸΏπŸ”› @berryblackmfalme
Mazoea yanatabu umenigusa mwanangu @aslayisihaka
#donyo mwanagu @yayah_prince ft mweupee @aslayisihaka angalia full video kwa YouTube ya #aslay #nguvuyaumma
Baba ake πŸ’ͺ🏾
New drop #Raha from @kingsule_ ft @iamshafy_16 Produced by @starjay_tz Directed by @director_mt link kwenye bio zao
Dodomaaaaaass
πŸ’ͺ🏿 baba ake
1. 2. 3. ................... iyoooo #naejoy
Ndugu yangu kijana wangu mshenzii kazaliwa leo tabata yote anaiamishia πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯happy birthday @walterintertainer @walterintertainer manager inshallah mungu akuja yaliyo mema tu
Naenjoy #nguvuyaumma
Kuenjoy raha sana @hamisamobetto #naenjoy #nguvuyaumma
Tunakununulia Na Kukutumia Popote Ulipo Tupo South African To Tanzania Zambia Botswana Zimbabwe Swaziland Mozambique Namibia Angola Kenya Uganda Rwanda Burundi Na Congo Brzavili Ethiopia Malawi Tuone L.N.C.A
#UtamuUnkuja
Baada ya kujichimbia mafichoni kwa siku kadhaa nikipika vitu vyenye ujazo usiopimika, kwa dhati na mapenzi makubwa nakuarifu wewe shabiki yangu na wale wote wapenda vitu vitamu kukaa mkao wa kula kuipokea zawadi yenye hadhi inayostahili. Tafadhali kaa mkao wa kulaπŸ’ͺ🎧
@boomplaymusic_tz 
#UtamuUnkuja
Zimesaliwa hatua chache sana uhondo kukufikia, jipange☺🎼
#MudaSioMrefu #nguvuyaumma #mweupee @boomplaymusic_tz
Anko mungu akujalie maisha malefu na salama yenye mafanikio kibao inshallah happy birthday @richmavoko @richmavoko πŸŽ‚πŸŽ‚πŸŽˆπŸŽ #bilioneakid