fidq_words
fidq_words
@fidq_words
 • 266
  Post
 • 21.3k
  Followers
 • 270
  Following

fidq_words's Posts

“Ninavyotembea ni kama HERO wa kuitwa CHE GUEVARA.. Ninavyozisaka hata nikipata ZERO inakua sio ya DUARA.” -#MzeeMbuzi
@therealfidq 
#KitaaOLOJIAlbum
Hii wazee wa kazi huita ‘WASAKANA WAONANA..’ ‘USIKU WA WATATA WAWILI’ kwenye ulingo mmoja tar 30/11/19 #ndani ya #Zanzibar katika mkesha wa kuipokea siku ya Ukimwi duniani kisha tar 08/12/19 tunakutana #DSM mkesha wa siku ya maadhimisho ya UHURU ndani ya uwanja wa uhuru.

#savethedate
HII NI HABARI YA UHAKIKA KABISA.
Listening party of Fid Q’s much anticipated album ‘KitaaOLOJIA’ , where guests get to listen to the unreleased album with special narration on some of the tracks from the man himself.. cc @therealfidq @samaki_samaki @cocacola_kwanza @tigo_Tanzania
Je kuna kushabihana kwa lolote kati ya KITAAOLOJIA, SAIKOLOJIA na FILOSOFIA?
.
SAIK-OLOJIA -Ni neno linalobeba dhana ya elimu ya akili na tabia kwa viumbe hai.

FILOS-OFIA (falsafa) -Ni mkusanyiko wa nadharia na mawazo yanayohusisha mfumo wa utambuzi wa kina wa mambo kwa hoja na mantiki pamoja na kusimamia misingi ya hekima na busara.

Je unadhani KITAA-OLOJIA inalenga nini?
Shusha comment inayoelezea unaelewa nini kuhusiana na KITAAOLOJIA kisha comment yako NITAI-POST HAPA. #KitaaOLOJIAmaanaChallenge

13/08/2019 saa 1:00 ya jioni tukutane SAMAKI SAMAKI kuisikiliza.
@therealfidq @samaki_samaki @cocacola_kwanza @tigo_Tanzania
@ibin_swalekh anasema;
@yusuphbukheti anasema;
@mazimazeru_farms anasema;
•Mwenyezi Mungu awajaze subira na uvumilivu waliopoteza ndugu na jamaa katika hii ajali ya lori la mafuta.
•Mwenyezi Mungu awape afueni majeruhi wote.
•Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.
#AjaliYaLoriLaMafuta
One of the Realest, illest MC's in the Game, today is Hip Hop day August, 13th kutana na Fid Q kwenye XXL ya Clouds fm.
@therealfidq @cloudsmediatz @samaki_samaki @slidevisuals @cocacola_kwanza
Muda ndo huu sasa ndani ya @timesfmtz sambamba na mfame wa #MAINTEVYUUU @lilommy kwenye maujanja ya #Theplaylist.
#KitaaOLOJIAera
#KOE
#KitaaOLOJIA ni album yenye ngoma 23 ila kuna ile moja iliyobeba dhima nzima ya KitaaOLOJIA ni interlude iliyosimamiwa na Chief Rhymson al maarufu Zavara @zavaramponjika na haya ndio mapishi yake 👇🏿.
.
Kabla ya mapande 16x3, mapande 8x3 halafu kuna dhima ya mdundo ile mianguko., mitambao, simulizi, raha au masumbuko.

Ukae nayo ka gari moshi juu ya taruma., michano behewa useme eti sio taaluma., kadri ya mile 3.5 kwa dakika ulikunje., takribani futi 450 kwa sekunde hadi bunge.

Kasi ya hii safari chemchem mikondo., mto Kwanza, Nile, Rufiji hadi mto Kongo., kutwa kucha nadharia ya kasi ya nuru., hutiwa hatiani kweli kitaa uongo kufuru.

Akili ya binadamu ina kasi zaidi ya mwanga., Mwanamalundi baruti mwanga hadi mwanza., vina bahari ya ufahamu duru nyeusi., ukubwa wa chaza kuwaza dawa cheusi.

Hekima dhidi ya ujinga, mchanga ufukweni., itifaki ya ukusanyanyi maarifa sumbukeni., harakati burudani utaratibu wa kufuma., mistari iliyotalaziwa mizani ya kujituma.

Usisahau zile hisabati za nne nne., mfumo mwamko wa mke na mme., aya, beti na simulizi yenye mtiririko., ajira asilimia 70% Hip Hop kunja viwiko.

Kushindwa rasimisha hii iwe sekta., siasa ya weweseka., udumaa ka shelter., harakati za mitandao ya kijamii duniani kunafanya hulka za redio ka mumiani.

Aonjae damu huwa haachi kunyonya., falsafa ya kweli dawa maMcee ujiponya kwa kupanua ufahamu, mipango kazi., maarifa kuwa ka msafiri na wapagazi.

Ngamia apitishwe tundu ya sindano, misimamo utambua adui sio mikingamo., fani bidhaa hisabati mikakati ya kisaikolojia., malengo ya dira kitaani ndio KITAALOJIA.

Kuipata album hii ni rahisi tu ingia www.cheusidawa.tz
#KitaaOLOJIAera 
#WanaTour
Hivi ndivyo ngoma ya #OleChizza ilivyopikwa na mpishi @goncherbeatz kwa full video zama kwa BIO ya @wanenestudios
Dada anasema #KitaaOLOJIA imemkosha na kibao cha #TajiriYangu ndio kinambariki sana, Je wewe uliyefanikiwa kuimiliki KitaaOlojia kibao gani unakihusudu?

#KitaaOLOJIAera
#TajiriYangu