Antu Mandoza Official 🇹🇿
Antu Mandoza Official 🇹🇿
@missmandoza
 • 3.9k
  Post
 • 119.8k
  Followers
 • 757
  Following

Antu Mandoza Official 🇹🇿's Posts

Wow kwakweli hadi nimestuka 🙌🏽😃 ( pitia insta story niweka picha aliyochora) @beatusgaitan you are so talented. Kindly contact me niipate picha yangu niihang bedroom❤️🙏🏽. Nimepata hadi hamu ya kusuka rasta😂. It’s a good day so far 😊🥰🙏🏽 bless y’all
To my beloved brother Erick Shigongo @ericshigongo 
Leo I want to take this special post to send my appreciations and many thanks for all that you are to me Kaka Erick 
Asante sana for all the support you have showed me with your company ( GLOBAL PUBLISHERS, GLOBAL ONLINE MEDIA ) na team yako yote kwa support kubwa sana mlionipa kila mara when I needed kushikwa mkono na media yako Katika Kazi zangu hasa events milango yako iko wazi siku zote tena kwa moyo mweupe sana🙏🏽. Kwa mara nyingine tena @tanzanianaturalbeautyday Isingefanikisha kwa ukubwa tuliofanikisha mwaka huu bila support yenu kubwa. I want to say Asante sana , I am humbled always , I appreciate you na Mungu asikunyime kila lililo la kheri ❤️🙏🏽 •
•
Vijana wengi wanajifunza kutoka kwako ; watanzania wanajivunia wewe , and I am thankful for you kaka yangu, I’ve learned to appreciate the important people who have My back angali wakiwa hai so one day I won’t regret why I didn’t tell me wakiwa hawapo.🙏🏾
#TBT #appreciationpost #naturalhairsioushamba
Kuna muda Mungu anakutetea , anakupambania mpaka Una hisi wewe ni last Born wake 😊. 🙏🏾
Please God Don’t let me down . thank you. ❤️🙏🏾 My skin cared by @amandoza_skincareproducts whatsap 0783324787.
KANISA LA ZUMARIDI MARUFUKU KUENDELEA NA IBADA:

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Dkt. Philis Nyimbi amepiga marufuku Ibada zinazoendeshwa na Kiongozi wa Kanisa la Mfalme Zumaridi lililoko Mtaa wa Iseni, Kata ya Butimba Mkoani Mwanza hadi pale uongozi utakapojiridhisha kuwa ibada hizo hazikinzani na Sheria za Nchi.
.
.
Dkt.Nyimbi alifika katika kanisa hilo linaloongozwa na Diana Bundala akiwa ameongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya.
.
.
#radio7official 
#radio7updates 
#sautiyakiswahili 
#habari

HAYA MAMBO YA IMANI HAYA JAMANI , WATUMISHI MSIZIDISHE BASI 🙁 
@radio7_official 
@radio7_official
A pretty smile on a rainy day make the cold go away 😁❤️
😍

My Hair cared by @amandoza_skincareproducts mafuta ya nywele , ya ngozi na Sabuni za ngozi zipo dukani victoria kituoni 0713 831979 / 0784703428 / 0759 774605. Tunadeliver , mikoani tunatuma 💯😍
#naturalhairsioushamba #naturalhair #afrohair
Kwa mara ya kwanza TANZANIA kushuhudia TUZO ZA MUZIKI WA DANSI TANZANIA 2019 jijini Mwanza, Bundesliga tarehe 21 Desemba mwaka huu...stay tuned!
Tunawaza sana 🤔, mpaka mabichwa yanaongezeka upana🤣....
TBT iringa.
#mtaliiwandani #naturalhair #brownskingirl #naturalist #melaninpoppin #kinkyhair #naturalbeautyblogger #naturalbeautyinfluencer🇹🇿 #tanzaniaunforgettable #jeanslovers
You might doing the right things but wrong timing .
You might be with the right person but wrong timing .
You might be feeling great things to a wrong person. 
You might be putting all efforts to a wrong job/business.
You might be working on a wrong plan but a perfect timing things will work out perfectly . 
TIMING IS EVERYTHING. May God help us & place us on the right things, right job, right business , right places and right people ON THE RIGHT TIME.
The Fixer.

Ijumaa Kareem dears, dukani tuko wazi kwa bidhaa natural za ngozi na nywele call 0713 831 979 / WhatsApp 0783324787 / delivery 0715 679412 / 0784703428
Amazing God😊, Alhamdulilah on everything. 🙏🏽💙
AMANDOZA BRAND , product za ngozi na nywele, 💯 natural , hazina chemical, zinatumika kwa wanaume, watoto na watoto. Tuna Sabani nzuri za kuondoa rashes na eczema kwa watoto na wakubwa, kuondoa chunusi, vipele, stretch marks , kuungua ngozi na chunusi na cream tutakusaidia kurudisha your natural skin, wenye michiziri , wenye nywele chache, zisizokua, zenye dawa na natural tunazo product za kuwafaa zenye guaranteed results @amandoza_skincareproducts 
TUNATUMA MIKOANI NA NCHI JIRANI.
Delivery popote in dar tupigie 0784703428 , 0713831979 , 0759774605 
Only whatsap 0783324787.

Jewellers from @ley_jewellers I miss u ma 😍
😂🤣😂😂 Godamn it this is Legendary🙌🏽 Utoto ilikua raha sana tuachane utani😂🤣 ( niskie mtu anasema watoto wa buza) huyu ni baharia wa baadae 😂🤣😂
I honestly love laughing 😂Usisite kuwa unanitag kwenye any funny video/jokes friend. Bless y’all ❤️💙
@radio7_official 
@radio7_official 
@radio7_official
Baba Yangu , Bibi Yangu mzaa baba , Mimi Mtoto wa baba yangu 😊.
Baraka Zangu 😍. Tukadirie umri wetu mimi, baba yangu, Bibi yangu atakaepatia nampatia zawadi kutoka @amandoza_skincareproducts calculator zitumike😂
Three generations in one photo, Dad, his moms and me. Blessed , humbled and thankful to God.
Morning dears , Hivi Matumizi ya simu ya mkononi ni matumizi binafsi yes?? Kwanini tunaya Misuse sasa? Busy kutumia kwa malengo ya kuumiza wengine? Ku attack na ku intimidate wengine? Si utumie kujinufaisha? So much to do , google about life, search about parenting, kids, fashion and life fans, jobs, online businesses, go watch jokes cheka , watch movies , films , kwanini uchague matumizi yasiyokufaidisha, fellow youth change today, girls stop wasting your time on your phone kwa vitu visivyokusaidia wala kukuongezea tija yoyote, value your time , if it don’t entertain you , it don’t educate you , it don’t open your mind you then you don’t need to it, you won’t benefit anything , stop taking out your anger and regrets to people who are not responsible for causing it. wacha ujinga.😃 CHANGE YOUR PRIORITIES AND YOUR LIFE WILL CHANGE, ITS NOT TOO LATE. 😊
 The fixer .

My skin glow from @amandoza_skincareproducts 
#positivevibes #naturalist #naturalhair #phoneaddicts #internet #brownskinnedgirl #nofilterneeded
I’m crying y’all 😂🤣 internet nimeishindwa🙌🏽, paka wa watu wanawinda sijui watu si wakambandika da mwani juu @riyamaally umbea gani hadi nyau waskilize jamani🤣🤣 Ila Umbea ni Janga la Taifa hasa huu wa kujibanza sehemu za hatari waga ni mzito Sana😂🤣 Nimskie mtu anasema Eti paka wa buza hawa🤣😂😂🙌🏽 #lol #chekatu #laugh #kuchekaniafya #temporarypost
Save yourself from unnecessary trouble, not every war is for you to battle, give God a little more time sometimes & great things will happen to you, have faith .😊 The Fixer.
Ngozi yangu inatunzwa na @amandoza_skincareproducts WhatsApp 0783324787, call 0713831979 /0759 774605 /0784703428.. May God bless your day ❤️😊🙏🏽
Kumbukizi , hii ilikua Kinshasa Congo , Standing before the statue of one of the powerful African Leaders in Africa , PATRICE LUMUMBA sometimes back when I visited Kinshasa Congo. Great memories 🙏🏽❤️ I enjoy traveling ( sema nilibongeka😂🙌🏽) Nchi gani ya Africa inavivutio vizuri kutembelewa?

#TBT
Bora kukosa Pesa kuliko kukosa maamuzi sahihi. 
Bora kukosa Elimu kuliko kukosa akili
Bora kukosa Chakula kuliko kukosa ujasiri
Bora kulia mara moja ikaisha kuliko kulia milele kwa siri 
Bora Aibu kuliko fedheha.
Bora ukweli Mchungu kuliko uongo mtamu 
Bora rafiki mmoja wa kweli kuliko marafiki 100 wanafki
Vitu vya msingi san kuzingatia ukiwa unafanya maamuzi ya maisha. 
Force is never a wise means to happiness 😀, beautiful things happen naturally or when you put some work efforts👌🏽
❤️😊
The Fixer 
Dukani tuko wazi tayari sabuni, mafuta ya ngozi , mafuta ya nywele yapo , all natural and very effective tupigie 0713 831979 whatsap 0783324787
@amandoza_skincareproducts we take natural beauty seriously 😊
This baby is real guys 😩😍❤️🙌🏽 sooo cute Kama wale Watoto wa kwenye google eeh? Kamepigwa picha na @mutramagic Well book photo shoot na sisi upate Ofa 50% discount Msimu wa sikukuu huu na @mutramagic unafatwa popote ulipo. 0629241898
Kama wahitaji
•family portrait photos
•kipaimara
•baby shower •birthday party •Engagement party 
Na nyinginezo mcheki @mutramagic 
Call /whatsap 0629241898
@mutramagic @mutramagic
My love❤️.
Feeling like An African Queen👑 
Sema My brother Milly your such a good hearted person @millardayo got so much love for you wacha nikusifie bado nikiwa hai, I never get to thank you on public kwa jinsi you’ve always been supportive , hii post special for the great support ulinipa wewe na team yako mzima on my event this July @tanzanianaturalbeautyday tena kwa roho safi kabisa, nikiwa Mkubwa nataka kuwa kama wewe chalii ya R 😀stay blessed @millardayo ❤️🙏🏽
#tbt #brownskingirls #naturalhair #naturalist #blackqueen #blackhair #melaninpoppin #afrohair #bighair #naturalhairsioushamba #naturalbeautyproducts #amandozabrand #naturalbeautyinfluencer
I love to balance beauty and my brain, I think every girl should do that, it’s our right . 😊🥰 ❤️Ms. Mandoza 
The Fixer
‪The world we are living “Tell me about your dreams , when you tell them they get shocked WHAT YOU SCARED FOR? Your scared that I have bigger dreams?? , they shouldn’t scare you , they are MINE not yours” 
Fuata ndoto zako, fuata furaha yako, usikatishwe na hofu za wengine sababu ya Ukubwa wa ndoto yako Au aina ya ndoto yako; ni NDOTO YAKO sio YAO‬. ❤️🙏🏽 @amandoza_skincareproducts
#naturalhairsioushamba #naturalista #hair #naturalhairstyles #4chair #naturalskincare #naturalbeauty #naturalhairrocks #brownskingirls #blackgirlmagic
A happy casual Saturday 😃😎 Fine Jeans from @georgie__peorgie 😍👌🏽
Tumshukuru Mungu kwa zawadi ya Maisha, Tuwaoneshe upendo na kuwathamini wanaotuthamini tungali tukiwa hai na wai wakiwa wanaona, Kesho anaijua Mungu na kifo hakijawahi kurudisha mtu. 
Nimeikwepa sana hii Video nilitaka kufungua nikiwa alone 😭, I feel for this little girl lakini ni yeye tu anaelewa Uzito wa pigo alilopata, Tumwombee Mungu ugumu wa Kumbukumbu za tukio hili zisimuathiri katika siku hizi ngumu atakazopitia hadi kukubaliana na kutokuwepo wapendwa wake tena maishani mwake. I hope ndugu jamaa na marafiki watakua nae Karibu kumpa faraja na upendo ndio kitu kikubwa anachohitaji kwa sasa huyu Mdogo wetu .
KAMA KUNA NAMNA WANA FAMILIA WAWEKE MEANS YA KUMSAIDIA KWA ATAKAEGUSWA ILI ASIKWAME KUPATA ELIMU YAKE MWAKANI AENDELEE KIDATO CHA 5 ATLEAST AFIKIE NDOTO ZAKE🙏🏽💔😫😔
Ukiskia kufa na tai shingoni hii Ndo manake 🤣🤣. Binadamu tumetofautiana sana wapo watu wako wamezidiwa na maumivu lakini hawako tayari kuwekeza muda wao kujitibu , to heal themselves but wako tayari kuwekeza muda kufanya vitu wanavodhani vitaumiza mtu aliye mtarget iwe kwa matendo au maneno ya kuongopa akidhani anakuumiza kumbe asichojua anajiumiza ye mwenyewe bcoz the hate you give out comes back in and eat your soul, Yani chuki inakondesha na kuumiza nafsi kuliko njaa. 
Na dawa ya watu Hawa we furahia tu maisha, weka juhudi kwenye kazi yako, biashara yako, masomo yako, Au mahusiano yako uwe na furaha na amani Ndio kitu kina waumiza. 
Usilipe ubaya kwa ubaya , uepuke ubaya na jitendee mema kwa kudharau matendo ya mbaya wako kwa kufurahia maisha yako . 
Ndo unamkuta mtu ana stress na hasira balaa na mtu ambae sio sababu ya kuharibika maisha yake but baada ya kujitibu na kujipanga ako busy kumuumiza mwingine kama vile itamsaidia 🤣😂. Mungu atusaidie sote . 
Tunaishi kila siku , tutakufa mara 1. 
The Fixer
Mungu wetu sote 😊 , hey Tomorrow I’m so ready for you ❤️🙏🏾 ( was so chubby in this picture 😃) • •
•
•Ngozi yangu inahudumiwa na vipodozi natural Salama vya @amandoza_skincareproducts 
Kuanzia kesho SKINHEALER SOAP itakuwepo dukani, Shea black soap Zipo , zote Bei imepungua Ni elfu 15 tu . Uwe mwanaume , mwanamke au mtoto bidhaa zetu zinakufaa sababu ni za asili. •Mafuta mazuri sana ya ngozi Gorgeous skin yako , mafuta mazuri ya nywele zenye dawa na natural yapo na kuanzia ijumaa SHAMPOO YA HAIR BOSS nzuri mnoo itakuwepo .
Dukani victoria 0713 831 979
Kuoda whatsap kwa 0783324787
Delivery na kutumiwa popote ulipo ndani na nje ya Tanzania Tupigie 0715 679412 /0759 774 605 / 0784703428. 
AMANDOZA BRAND “ We Take Natural Beauty Seriously” 😉❤️
I’m a lover of life 💚. ISHI 😊
#TheFixer #Naturalist #jeanslover
BALANCE MAISHA ; KAZI NA MAPUMZIKO. 
Watu wengi hasa wa Afrika tuna kasumba mbaya sana juu ya mapumziko binafsi /holiday hasa sisi wa maisha ya kati na chini na hata wenye nazo waliokosa exposure na uelewa kudhani ni Anasa.

Imekaririwa mtu kujipa muda wa kupumzika na kufurahia maisha baada ya kipindi kirefu cha kufanya kazi kwa bidii Kama Anasa lakini mtu huyu huyu anaweza kuona kupata wasaa wa masaa kadhaa kila wikiendi kunywa pombe sehemu fulani ya gharama na marafiki au pekeake au Hata nyumbani Ndio mapumziko na inatosha. 
Siku 365 Umekua ukiushughulisha Mwili wako na ubongo wako Bila mapumziko ya kutosha japo siku 3 hadi 7 unategemea utaishi muda mrefu ukiwa na afya Bora? HAPANA lazima utanyemelewa na magonjwa Kama sio uzeeni basi umri fulani utaskia stress za kazi na maisha zimempelekea mtu kupata pressure, kisukari, vidonda vya Tumbo, insomnia, kiharusi na shinikizo la damu na magonjwa mengine mengi sababu nini ULISHINDWA KUJIPA MAPUMZIKO NA KUBALANCE KAZI NA KUISHI.

Usitafute hela kwa bidiii, kwa maumivu na juhudi kubwa uje Ishia kujiuguza magonjwa uliyojitaftia wakati ukizitafuta badala ya kuzitumia kufurahia na kujipongeza kwa furaha kwa uchapakazi wako. Utakufa waje kufaidi ambao hawakutolea jasho mali zako , matunda yako , faida zako. 
BADILIKA, JIPENDE ZAIDI, BAADA YA KIPINDI KIREFU CHA KUCHAPA KAZI , ANZA KUPANGA SIKU ZA MAPUNZIKO NA KUFURAHIA MAISHA KABLA SIKU YAKO YA KUFA HAIJAFIKA .

They say you only live once , I say you live everyday but die once , once your gone you are gone , so start planning your living well today .
#Thefixer #mtaliiwandani
Antu with the short hair 😁, TBT ,first year UDSM , nadhani Sura yangu haibadiliki au? ( hii picha kama haikua ya Tecno basi iphone 5😂) #thefixer #naturalist #naturalbeautyinfluencer
 @tanzanianaturalbeautyday
Picha ya Nov 1 mwaka 2016... Happy new month people upendo na Amani itawale ❤️🙏🏾.
@amandoza_skincareproducts
BALANCE MAISHA , MUHIMU
KUA NA ELIMU SANA AU KUA NA CHEO SIO NDIO UWE TOO SERIOUS USI ENJOY MAISHA MY FRIENDS 
says @tiwasavage 🙏🏾💚 #happynewmonth #kazinabata #balancemaisha #firstfridaynovember
Tunaishi kila siku, tutakufa mara moja, we live everyday , we only die once. Im glad my sister @lily_ofthatvalley is an amazing adventure lover just like me❤️so we be living our best life and making great memories together, I’m thankful for her 🙏🏾
🔱
🔐
Ukiacha Zanzibar Niandikie hapo chini visiwa gani vizuri / beach kunafaa kutembelewa? 
#mtaliiwandani #naturelovers #naturalist #naturalbeautyinfluencer #newmonthnewgoals #tanzaniaunforgettable
SKIN HEALER SOAP 
SHEA BLACK SOAP
BLACK HAIR MAGIC
GORGEOUS SKIN 
Best of AMANDOZA BRAND 
ZINASAIDIA 👇🏾 Chunusi, rashes , vipele, eczema, rough skin, acnes , michirizi, stretch marks , mba wa nywele, kukua na kujaza nywele , kulainisha nywele , kufanya ngozi yako kuwa soft , nyororo na yenye afya Bila kuharibu ngozi yako ya asili wala kukuchubua rangi yako Ndio malengo makuu ya AMANDOZA BRAND. 
Wanaume, watoto , wanawake wanatumia. 
Kuoda kwa whatsap 0783324787
Tupigie dukani victoria 0713 831 979. 
Delivery Dar na kutuma mikoani na nchi jirani 0784703428 / 0759 774605 / 0715 679412.
@amandoza_skincareproducts we take natural beauty seriously.
My Sunday Prayers..Mungu atulinde na kutubariki sote sawa sawa na mapenzi yake ,Amin🙏🏾
SKIN HEALER SOAP 
SHEA BLACK SOAP
BLACK HAIR MAGIC
GORGEOUS SKIN 
Best of AMANDOZA BRAND 
ZINASAIDIA 👇🏾 Chunusi, rashes , vipele, eczema, rough skin, acnes , michirizi, stretch marks , mba wa nywele, kukua na kujaza nywele , kulainisha nywele , kufanya ngozi yako kuwa soft , nyororo na yenye afya Bila kuharibu ngozi yako ya asili wala kukuchubua rangi yako Ndio malengo makuu ya AMANDOZA BRAND. 
Wanaume, watoto , wanawake wanatumia. 
Kuoda kwa whatsap 0783324787
Tupigie dukani victoria 0713 831 979. 
Delivery Dar na kutuma mikoani na nchi jirani 0784703428 / 0759 774605 / 0715 679412.
@amandoza_skincareproducts we take natural beauty seriously.
Hongera sana kwa mapacha wa Taifa Lisa na Lucas @lisaandlucasjr 👌🏾😍Mabalozi wapya kutoka @gsmmall @gsmhometz wazazi msimu wa sikukuu Ndo huu wahi upate vitu vizuri vya watoto wako. Meneja Hongera sana @jotiofficial 😂🙌🏽.