nikkwapili
nikkwapili
@nikkwapili
 • 1.8k
  Post
 • 3.4m
  Followers
 • 631
  Following

nikkwapili's Posts

Moja ya laana rahisi kukupata ni ile ya kumwacha aliyekuvumilia wakati huna kitu na ukamuacha wakati umepata......hutamaliza salama mifano iko mingi mnoo.......mafanikio yako yana malaika wake akiondoka yenyewe hayawezi kubaki
Kabla sijaifanyia Tanzania chochote mimi nimejifanyia nini????
#BABA KASEMa Uhuru wa Burudani ndani ya Uwanja Wa Uhuru Taifa
USIPITWE NA OFA HII YA MSIMU WA SIKuKUU
Weka alama ya moto kama unawakubali hawa wanajeshi πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Nipe uchambuzi wa hili goli kwa sauti ya mwalimu kashasha
Anayeona missed calls zako mara kwa mara alafu hakupigiii kwa namna flani anakuona huna umuhimu katika maisha yake
Oya @countryboytz hii mziki yenu imefika mpaka kwa @zuriwapili kweli trap is the future @thuggerthugger1 @travisscott
Ua la Moyo katika Picha ya kwenye maua na nguo ya maua maua @miss_joan_
Wasichana katika swala la Kwenda honeymoon hawanaga utani mamazuri kashawapata @aviasales.co.tz na ilivyo rahisi sasa kutumia paris lazima twende hakuna namna @aviasales.co.tz wamerahisisha sana @miss_joan_ πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Mwenye boda anasema akinunua ist anasema atafurahi, mwenye ist anawaza harrier, unamwona mtu flan unasema nikipata mpenzi kama yule natulia, ila aliye nae hajatulia, anayelipwa milioni anasema siku akilipwa milioni nne atapata faraja, anayelipwa nne anasema ikifika nane atajiona kapiga hatua. Huna furaha kwasababu huna IPhone babu zetu waliishi bila simu unafikiri hawakua na furaha??? Tumejitega kwenye mtego kwamba furaha itakuja na ongezeko la vitu, pesa, mali au mpenzi wa aina flani 
Furaha ni shukrani furaha nikama sadaka mwenye kubwa au ndogo wote wanajisikia amani wametoa
NGOMA live.....Corporate, Makuti Dar
1391 Haile Selasie Rd, Dar es Salaam
0753 855 070 @damiansoulmusic
Mama zuri anataka twende honeymoon paris lakini eti haifahamu @aviasales.co.tz sasa paris tunaendaje wazee bila @aviasales.co.tz .......mamazuri unaniangusha @miss_joan_
@dogojanjatz sio mimi ni @switcherbaba kasema dogo hajatisha.......anasema hii ndio maanahalisi ya freestyle he he
Katika kumkumbuka Nyerere tukumbuke hii ndito imekufa, wakati wa kipindi chake ndio ilikuaga ndoto sikuhizi sidhani
Wote hatujiamini kwa sababu tumekuzwa na hofu ya kuhakikisha, hatumuuzi baba, mama, ndugu, majirani.....tuhakikishe majirani wanatuongelea vizuri, rafiki wa wazazi wanatusifia, tumekuzwa kuogopa kuaibika au kuiabisha familia na kuwafurahisha wanandugu........Kwa hivyo tumekuzwa kimahakama kila siku tunajiuliza watu watanionaje......Usipo jitoa katika hii mahakama na kuikana hukumu yake hutojiamini kamwe
Maji ya mvua si salama
By Dr sizya
@sizya_official
Kupenda inamaana mtu mwingine anaanza kua wa muhimu kwenye moyo wako kuliko hata wewe mwenyewe, una muwaza kuliko unavyo jiwaza, unajiogopa kua peke yako bila yeye, makosa yake yanakuumiza kuliko makosa yako, una wasi wasi na marafiki zake kuliko wako......hujipendi mpaka akupende.......ukiambiwa mapenzi ujinga usikatae.....huo nilio eleza hapo ni ujinga wa hali ya juu hata panya haufanyi
Happy birthday mtu makini sana mwamba toka maltchoice .....asante kwa burudani zotee movie, mpira, documentary nakadhalika Mungu akupe Maisha marefu ili na sisi tuendelee kuburudika boss @barakashelukindo
Siwezi mlaumu msichana akiniacha pale ninapokua sina kitu, kwa sababu hata mimi sipendi shida, lakini nita mlaumu akinirudia wakati ninazo kwa sababu hata mimi sipendi kuvuna kile ambacho sija kipanda
Kurizika na kidogo sio unyonge, kukubali uhalisia wako sio kupitwa, kutokua na simu nguo au gari maarufu sio ushamba, kupata atensio sio kuheshimika, kua simple sio umaskini.....jitizame wewe hata ukijidai utajilipa inakutosha Ishi wewe
Tuwaambie ukweli wadogo zetu wa kike au wakiume, maisha sio marahisi, mwanzo wa laki moja ni elfu moja, kila wanacho kipenda na kukitaka wawe tayari kupitia maumivu ya mchakato wa lazima wa kukitafuta kwa jasho la mikono yao na akili zao, vitz au tekno ya kununua kwa jasho lako sio mchezo ni kazi kweli kweli
JUMAMOSI NDIO HIYO INAKARIBIA 12/10/2019 UNUNIO BEACH MNADA WA KISASA, MUDA NI SAA NNE ASUBUHI MPAKA SAA TANO USIKU KUMBUKA HAKUNA KIINGILIO
Cc. @gnakowarawara @msosi_fresh @twenzetu_mnadani_ @vimambo_market
Mambo ni moto Ijumaa ya leo pale magwiji wawili wa Soka duniani wanapotinga uzi wa Taifa na kuwakilisha mataifa yao dimbani Czech Republic wanawakaribisha timu ya taifa ya Uingereza na Wababe wa kombe la dunia Ufaransa wanasafiri kwenda Iceland kwenye michuano ya Euro 2020.

Lipia kifurushi DStv Compact sh.44,000 kufurahia michuano yote hiii! @dstvtanzania
#KilaMtuMachoKodo
Ofisi moja ilikua na msichana mmoja na wavulana 10, basi wavulana 8 hapo wakawa wanamzimia sana huyo dada yani wanachanganyikiwa nae, baadae ofisi ikaongeza wadada wapya 5, katika wale 8 waliokua wanampenda yule dada, 6 wakabadili upepo na kuanza kuwapenda wadada wapya na kuchanganyikiwa nao kabisa........... Somo hapa nikwamba binadamu hawajui wanachotaka usijitese kuhangaika kumrizisha mwanadamu hutoweza fanya tu kwa kiwango chako.....usijiuwe bure kutaka kumrizisha mwanadamu hana uhakika na anacho taka
Happy birthday Mr president....Mungu akujalie Mema
Tafakari matata kutoka kwa @masoudkipanya @smartgeneration_tz #NoaKisuUkaleNyama video nzima ipo katika ukurasa wetu @smartgeneration_tz jiunge na hii movement kwa kutufollow @smartgeneration_tz @officialcza
Happy birthday bwana harusi livelong chaliii.....usisahau kuja na moon huko honeymoon @allensalaita
Jamani jamani πŸ™€πŸ™€Liverpool uso kwa uso na Arsenal ndani ya #EFL
Je Arsenal watakuwa na ubavu wa wakupindua meza ugenini?
Lipia mapema kifurushi cha Bomba au Family kabla hakijaisha na upate ofa ya siku 7 za chaneli za Supersport za kifurushi Compact ikiwemo SS3
#KilaMtuMachoKodo
MTWARAAA..........πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Msaada ni kusaidiana sio kusaidiwa tu....... @smartgeneration_tz #NoaKisuUkaleNyama
MTWARA FURSA 2019 @uhuruhospital @drderickofficial
kutoka kwenye ukurasa wa Dr Derick Nyasebwa @drderickofficial 
USIOGOPE KUANZA KIDOGO, MFANO KUTOKA EMIRATES AIRLINE
@emirates ambalo ni moja ya shirika kubwa zaidi la ndege Duniani kwa sasa, Mwaka 1985 walianzisha shirika na ndege mbili (2) tu. Mwaka huu 2019 Wanatutaatifu kupiti ukurasa wao wa instagram kuwa wanamiliki ndege 268, wastani wa ongezeko la ndege 7.82 kila Mwaka na kulifanya kuwa moja ya shirika kubwa na Bora la ndege Duniani huku wakiwa ndio wateja (Wanunuzi) wakubwa zaidi wa Ndege aina ya Airbus A 380 hata kampuni ya Airbus kuweka wazi kuwa Bila Emirates kununua A380 watasitisha utengenezaji wa Toleo hilo la ndege. 
MORAL OF THE STORY

1. EVEN CORPORATES WAS ONCE A STARTUP. Usiogope kuanza kidogo, Anza NA ulichonacho huku ukiwa na Malengo makubwa (THINK LOCAL ACT GLOBALY) 
2. FOCUS
Kwa miaka 34 @emirates wao hawajatoka nje ya AVIATION industry. Wamekuwa wakihakikisha wanapanua wingo ndani ya eneo lao tu. Uwezekano wa jambo lolote kutokufanya vizuri pale ambapo unakuwa na mambo mengi na yote ni mapya kwa wakati mmoja ni mkubwa sana. #STAYFOCUSED #CONCENTRATE 
3. CREATE DEMAND/VALUE Katika kukua hakikisha una-create demand, ifikie hatua thamani yako iwe kubwa kiasi cha kutegemewa na taasisi nyingine. Bila wewe 'hawaendi' 
Niwapongeze @airtanzania_atcl kwa kuanza na flyt nyingi kuliko @emirates ni matumaini yetu miaka 34 ijayo Dunia itakuwa 'IMESIMAMA' ikitutazama
#ThankDrDerickLater
cc @emirates @airtanzania_atcl @ikulu_mawasiliano @gersonmsigwa
Hii ndio nafasi sasa
BIG BIG DAy.....MY Real G.......Mungu akubariki sanaaaa Hongereni sanaaa kwa kuwa Mke na Mume @allensalaita @kokugemmitta
Imeishaaa hiyoo, tumechukua mama ......sio wawili tena bali ni mwili mmoja @allensalaita @kokugemmitta .......πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯❀️❀️❀️❀️πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
ARUSHA 1000% Leo NDIO SIKU YA MCHELE YENYEWE......TIGOFIESTA mitaa yote darajambili, kaloleni, sakina, kijenge, Ngarenaro, Tejo, lemara, mbauda, kwa mworomboo.....sowetoo Tunakutana UWANJANI LEO NI MORI NA NUSU @johmakinitz @therealfidq @juma_jux
Mwaka 2018 shirika la America airline ndilol inasemekana kuongoza kwa faida na mapato, wanakadiriwa kuingiza dolla billioni 44, Trump ni mfanya biashara anaongea from experience anajua tumefanya maamuzi sahihi na sisi Tukiendesha Air Tanzania vizuri tunaweza pata faida kubwa na kuiwekeza kwenye maendeleo......miaka minne JPM katisha sana.............wanasema njia nzuri ya kuikosoa serikalin ni kuipa solution ya pale unapoona wanakosea......toa solution ya namna ya kuboresha pale unapoona pana makosa 
Hongera Tanzania kwa ndege mpyaa JPM πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Mungu awajalie familia yenye Amani na upendo @allensalaita @kokugemmitta
Ujana una nguvu nyingi na ujinga mwingi, chaguo ni lako, nguvu zako ziumeze ujinga ama ujinga umeze nguvu zako
Misele ya Jumapili na marafiki zangu damu @miss_joan_ @zuriwapili
Huna furaha kwasababu unataka kitu flani na huja kipata, lakini pengine furaha ipo pale utakapo acha kutaka hicho kitu.........fikiri tofauti
KUJICHUA......ni kukwepa majukumu, kupenda kitonga, kukubali unyonge wa kukosa vigezo kwa sababu kua na msichana unahitaji vigezo, nikushindwa kujizibiti, nikuishi uongo, nikukubali kua chini katika mlima wa maisha, nikukataa kua jasiri.....nikutaka kurahisisha maisha, 
Acha Kujichua......Wajibika, Kujichua sio ngono salama nihatari kwa saikolojia yako inakutia Unyonge....