• POST
  • FOLLOWERS
  • FOLLOWING
@
Waebrania 13:6 yaani hata wasubutu kukusema kukuchafua. hakuna kuogopa chochote maana ni bwana akusaidiaye. Na si mwanadamu nahata mwanadamu akusaidie asikubabaishe maana Mungu ndoameruhusu akusaidie kwakipindi hicho.
Usidharau chochote kile ambacho mtu anakupa kwa moyo mwema yawezekana kajinyima iliakupe wewe.
Kuna watu lazima waondoke iliwapya waje. Kwahiyo wakuondoka mwache aende salama usimnganganie andaa nafasi kupokea wapya. Usibaki mnyonge
Mungu abariki uzao wa tumbo yako
Mungu atembee na wewe wiki hii
Usipange kukosa
Hutotumia Tv, gazeti, Wala redio iliujulikane. Mungu atatumia vinywa vya wale wanaokuchafuwa iliujulikane. Wanavyo zidi kukuongea ndivyo wanavyo funguwa ukurase mpya wamaisha yako kwaiyowaache waongee maana yupo Mungu anaefisha watu wake
Giza hutawala pale nuru haijatokea. Ila nuru ikitokea kilakitu huonekana wazi
Usipange kukosa